Othman Miraji (wa tatu kushoto) akiwa na wafanyakazi wenzake wakati wa sherehe ya kumuaga
Wafanyakazi wa DW wakiserebuka wakati wa sherehe ya kumuaga Othman Miraji
Baada ya miaka 35 ya utumishi katika Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani, Othmani Miraji amestaafu.
Miraji alikuwa Mhariri
Mwandamizi wa idhaa ya Kiswahili, DW.
Mhariri Mkuu wa
DW, Bibi Ute Shaeffer na Mkuu wa Matangazo ya Kiswahili, Bibi Andrea
Schmidt, na wafanyakazi wa idhaa hiyo tayari wamemuaga gwiji huyo wa utangazaji.
Othman Miraji alijiunga na DW mwaka 1977 akitoka Idara ya Kunasa Matangazo BBC (BBC Monitaring service), Nairobi, Kenya.
No comments:
Post a Comment