Wednesday, September 12, 2012

Waziri Nchimbi alivyofika, kufukuzwa Jangwani

 Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi akiingia kwenye mkutano  wa wanahabari  viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam.

 Waziri wa Mambo ya Ndani Dk.Emmanuel Nchimbi akajaribu kuwatuliza waandishi wa habari katika viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani Dk.Emmanuel Nchimbi akiondoka akisindikizwa na viongozi wa Jukwaa la Wahariri

No comments:

Post a Comment