Wednesday, September 12, 2012

Waandishi wa habari Mbeya walivyolaani mauaji ya Mwangosi


Waandishi wa habari Mbeya wakiandamana kupinga mauaji ya mwenzao, Daudi Mwangosi.
 








RPC mkoa wa Mbeya akiwa anakatiza mbele ya maandamano ya waandishi wa Habari mjini Mbeya.



Kwa hisani ya blog za mikoa

No comments:

Post a Comment