Saturday, September 1, 2012

Pinda akutana na mwalimu aliyemfundisha darasa la tatu

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mwalimu wake, John Kasalamimba walipokutana Mjini Mpanda Agosti 30,2012. 

Mwalimu Kasalamimba alimfundisha Pinda kuanzia mwaka 1960 darasa la tatu katika Shule ya Msingi ya Kibaoni wilayani Mlele, Mpanda. 

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment