Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda (mwenye suti ya kijivu)
akitoka kwenye jengo la kiaskofu la Jimbo la Mpanda baada ya
kusaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Askofu wa Jimbo hilo, Paschal Kikoti kilichotokea juzi katika Hospitaii ya Rufaa ya Bugando
Mwanza.
Askofu
wa Jimbo la Sumbawanga Damiano Kiarusi akiwa na Makamu wa Askofu wa
Jimbo la Mpanda Padri Patrick Kasomo baada ya kuagana na Waziri Mkuu
Mizengo Pinda alipokwenda kusaini kitabu cha maombolezo cha
kifo cha Askofu Paschal Kikoti.
Kaburi anapotarajiwa kuzikwa Askofu wa
Jimbo la Mpanda Paschal Kikoti
Kwa hisani ya blog ya Katavi
No comments:
Post a Comment