Mgombea
wa nafasi ya Mwenyekiti Yusuf Manji wakati akiomba kura kwa wanachama
wa Yanga kabla ya uchaguzi uliofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Mgombea
wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti, Clement Sanga akiomba kura kwa
wanachama wa Yanga kabla ya uchaguzi uliofanyika jana kwenye Ukumbi wa
Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Yusuf
Manji (Kulia) na Clement Sanga (Kushoto) wakiteta kabla ya uchaguzi wa
klabu ya Yanga uliofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini
Dar es Salaam.
NAFASI YA MWENYEKITI WA KLABU
Yusuf Manji (kura 1876) - 97.0%
John Jembele (kura 40) - 2.6%
Edgar Chibura (kura 4) - 0.24%
NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI
Clement Sanga (kura 1948) - 62.6%
Yono S Kevela (kura 475) - 23%
Ayoub Nyenzi (kura 288) - 14%
NAFASI YA UJUMBE
Abdallah Bin Kleb (kura 1942)
Moses Katabaro (kura 1068)
Aaron Nyanda (kura 922)
George Manyama (kura 682)
Beda Tindwa (kura 391)
Edgar Fongo (kura 295)
Graticius Ishengoma (kura 247)
Jumanne Mwamenywa (kura 251)
Justine Baruti (610)
Lameck Nyambaya (kura 425)
Omary Ndula (kura 170)
Peter Haule (441)
Ramadhan Said (249)
Yono Kivela (123)
Kutokana na matokeo yalivyo hapo juu safu ya viongozi waliochaguliwa ni
MWENYEKITI: Yusuf Manji.
MAKAMU MWENYEKITI: Clement Sanga
WAJUMBE: Abdallah Bin Kleb, Moses Katabaro, Aaron Nyanda, Geroge Manyama
Kwa hisani ya blog ya francisdande
No comments:
Post a Comment