| Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Ltd, Dk. Reginald Mengi akiwa katika picha ya pamoja na Waafisa Waandamizi wa kampuni tanzu za IPP wakati alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City. |
| Dk. Mengi akibadilishana mawazo na waafisa waandamizi wa IPP. |
| Mzee Dk. Mengi akiwasili ukumbini huku akiongozana na Mkurugenzi wa Masoko wa IPP Ltd, Bi. Joyce Luhanga. |
| Dk. Mengi akikata keki. Kitendo pia kilifanywa na Mwanaye Abdiel. |
| Ze Comedy wa EATV waliweza kulimiki jukwaa kwa kuimba nyimbo mbalimbali na kuwapagawisha watu. |
| Haya sebene kwa kwenda mbele... Farouq Karim, Yvone Msemembo na Romana Mallya (kushoto) wakiserebuka. |
| Crew ya EATV wakiwa na Zahir Ally Zoro na Abdallah Bawazir (wa pili kushoto). |
| Kutoka Kushoto: Bawazir, Zahir Ally Zoro na John Badi |
| Mambo ya Mduara hayao... |
| Hellen Mwango naye aliamua kuonyesha mikiki yake. |
| Baada ya mambo kuchanganya wengine waliona viatu vizito wakaamua kuviweka kando ili wasebeneke vizuri. Picha zote kwa hisani ya www.johnbadi.blogspot.com |
I blog frequently and I really appreciate your information.
ReplyDeleteThe article has truly peaked my interest. I'm going to book mark your site and keep checking
for new information about once per week. I opted in for your Feed too.
Feel free to surf to my blog :: Gambling Paradise