Msanii
mahiri wa HIP HOP ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini
(Chadema), Joseph Mbilinyi 'Mr II' a.k.a Sugu, juzi alizikonga nyoyo
za mashabiki wake waliofurika ndani ya ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam kwa kufanya makamuzi ya
hatari katika tamasha la Usiku wa Sugu.
Sugu alisindikizwa na Juma Nature, Profesa Jay, Vinega, Mkoloni na wengineo wengi kwenye shoo.
Mbunge
wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari a.k.a (Dogojanja) nae
akitoa 'verse' kuupamba usiku wa Sugu ndani ya Dar Live.
Mbunge wa Kinondoni (CCM), Idd Azzan nae alikuwepo Dar live.
Mashabiki wamepagawa.
Picha zote kwa hisani ya www.mjengwablog.com

No comments:
Post a Comment