Thursday, May 31, 2012

Wabunge Chadema washuhudia mpambano wa Brazil Vs Marekani

Wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Peter Msigwa na Joshua Nassari wakiwa uwanjani kushuhudia mpambano kati ya Brazil na Marekani jana usiku Jumatano Mei 30,2011.
 
Brazil walishinda mabao 4-1
 
Wabunge wa chama cha Chadema, Peter Msigwa na Joshua Nassari wakipiga picha na warembo uwanjani jana usiku nchini Marekani.
 

Wabunge hao wakishangilia na Bendera ya Taifa wakati wakishangilia Bao la kwanza la Brazil lililofungwa kwa Penalti na mchezaji Neymar.

Marekani wakijishauri kuanza mtanange huo baada ya kuchapwa bao la nne bao la kwanza lilifungwa na Neymar, na lapili na Thiago mnamo wa dakika ya 11, kipindi cha kwanza. 
 
Bao la US lilifungwa na Hercules Gomes dakika ya 44 kipindi cha kwanza hivyo hadi mapumziko Brazil 2 - US 1.
Landon Donovan
Mshambuliaji wa Marekani, Landon Donovan, akipiga krosi huku akidhibitiwa na mlinzi wa Brazil, Marcelo.
Raha katika Uwanja wa FedexFeild, uliopo Landover Maryland Nchini Marekani.
 
Picha, maelezo kwa hisani ya blog ya swahilivilla.

2 comments:

  1. It's amazing to pay a visit this web site and reading the views of all friends regarding this paragraph, while I am also zealous of getting familiarity.
    Also see my site: click here link

    ReplyDelete
  2. Awesome blog! Is your theme custom made or did you download
    it from somewhere? A design like yours with a few simple tweeks would really make my blog stand out.

    Please let me know where you got your design. Thanks
    a lot

    My weblog - live sex cams

    ReplyDelete