Wednesday, May 30, 2012

Iddi Simba kizimbani


 Wakili Said Hamad El-Maamry (kushoto) akizungumza na Idd Simba Mahakamani .
 
 Aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara wa zamani, Idd Simba aamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kujibu mashata 8 likiwemo la kula njama, kughushi, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu pamoja na kulisababishia hasara Shirika Usafiri Dar es Salaam (UDA) ya Sh. bilioni 2.3. 
 
Mshiakiwa huyo alifikishwa mahakamani hapo pamoja na washitakiwa wengine watatu. 
 

No comments:

Post a Comment