Tuesday, May 29, 2012

Chadema wafungua tawi Washington DC

Viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)  wakiwa katika uzinduzi wa tawi la chama hicho jijini Washington DC nchini Marekani.

  
Mbunge wa Viti Maalum, Leticia Nyerere (kushoto) akiwa na Mbunge Maryam Msabaha kwenye uzinduzi wa tawi la Chadema Washington DC
Kabwe Zitto akizungumza katika uzinduzi huo.


  Wakereketwa wa Chadema wachukua kadi baada ya uzinduzi wa tawi la chadema Washington DC

 Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akiwa katika uzinduzi tawi la Chadema Washington DC

Mbunge wa Iringa mjini, Mchungaji  Peter Msigwa naye alikuwepo
Kabwe Zitto akihutubia umati uliohudhuria ufunguzi huo



 (Picha zote na swahilivilla.blogspot.com)


  
Wakereketwa wa Chadema wakiwa wameshikilia kadi zao za chama hicho 


No comments:

Post a Comment