Friday, January 20, 2012

Walivyomzika Regia Mtema

Rais Jakaya Kikwete akiweka shada la maua juu ya kaburini la aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Regia Mtema.
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbroad Slaa akiweka shada la maua juu ya kaburi la Regia Mtema.

Rais Jakaya Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Regia Mtema.


Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akiweka udongo kwenye kaburi la Regia.

Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda akiweka udongo kwenye kaburi la Regia.

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai akiweka udongo kwenye kaburi la Regia.




Maiti ya Regia ikipelekwa kaburini

Pacha wa Regia Mtema, Remija (kulwa) akibembelezwa wakati wa mazishi ya mdogo wake.

Waombolezaji

Waombolezaji

Waombolezaji

Walinzi kutoka Chadema wakisimamia usalama wakati wa mazishi ya Regia Mtema.

No comments:

Post a Comment