Thursday, January 19, 2012

Mbunge mwingine afariki dunia

Jeremiah Sumari enzi ya uhai wake

Mbunge wa Arumeru Mashariki Jeremiah Sumari (CCM) amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah, amesema, Mbunge huyo aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi alifariki jana saa nane usiku katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment