Monday, November 14, 2011

Fabregas ampa mtihani Van Persie

Robin Van Persie
Cesc Fabregas alipokuwa Arsenal


NYOTA wa zamani Arsenal 'The Gunners', Cesc Fabregas ametoa kauli ambayo naamini itawachoma sana mashabiki wa timu hiyo.


Fabregas kamwambia 'lulu' wa The Gunners , ROBIN VAN PERSIE kwamba, hii ni nafasi yake ya mwisho kuhama Arsenal, asipofanya hivyo hatahama tena.



Kwa mujibu wa nyota huyo wa Barcelona, kwa kuzingatia umri wa Van Persie (28), asipohama sasa Arsenal, atastaafu akiwa kwa washika bunduki hao wa London.


Fab hana uhakika kama Arsenal 'watambakiza' Van Persie a.k.a Van Magoli kwa kuwa huo ni uamuzi wake.


Anasema, Van Persie amekuwa mwaminifu kwa Arsenal, ni mchezaji muhimu kwa timu hiyo, ni mfano wa kuigwa, mashabiki wanampenda.


Fab anasema, kutokana na umuhimu wa Van Persie kwa Arsenal, klabu hiyo haiwezi kuthubutu kumpoteza.


Tangu kuanza kwa msimu huu, Van ametupia nyavuni mara 13 katika mechi 13 alizocheza.


Soma hapo chini


CESC FABREGAS last night warned Robin van Persie: If you don't quit Arsenal now you never will.


Gunners skipper RVP has put contract talks with the club on hold until the end of the season.


This has made the Gunners fear the Dutchman, 28, could be the next big name to walk away.

Fab, who left London to join boyhood idols Barcelona in the summer, said: "I don't know if they will keep him. It is his decision.


"At his age, if he wants to move it will be his last chance and if he wants to stay he will stay and retire at Arsenal."


Van Persie has just 18 months left on his current deal with the Gunners.


Fabregas said: "We will see what he decides but he's been very loyal to Arsenal for a few years. He is a key player, the fans love him.


"He is the role model of Arsenal, the star player and they cannot afford to lose him."


Van Persie has started the season like a house on fire, netting 13 goals in 13 starts.


Fab admitted: "He is having an amazing season. Hopefully he will be fit for the whole season.


"Unfortunately when I was there, he never enjoyed a whole season without injury."
Fab, 24, has started seven of Barca's 11 matches in La Liga this season, scoring five times.
He said: "It is like a dream."

No comments:

Post a Comment