KUNA mdau kanitumia hii, inaweza kukusaidia
KUFORMAT COMPUTER KUNAFANYIKA PALE AMBAPO COMPUTER YAKO INAKUWA IMEZINGUA (IME CORRUPT).
NINI MAANA YA KUFORMAT COMPUTER?
NI KITENDO CHA KUFUTA KILA KITU TOKA KWENYE HARD DISC YA COMPUTER YAKO.
HII INATEGEMEA PIA KAMA COMPUTER YAKO INA PARTITION (Mf.A,B,C) HIZI NDO TUNAZIITA PARTITION.
KAMA COMPUTER YAKO INA PARTITION,BASI UTAAMUA MWENYEWE,NI PARTITION GANI YA HARD DISC UNATAKA KUIPIGA CHINI NA KUIWEKA UPYA! ANGALIZO:
>>KABLA YA KUFORMAT HARD DISC YA COMPUTER YAKO,HAKIKISHA KUWA UMEFANYA "BACK UP" YA VITU VYAKO VYOTE,VINGINEVYO UTAPOTEZA VITU VYAKO VYOTE.
>>KWA MTU MAKINI,"BACK UP" INASHAURIWA KUFANYWA KILA BAADA YA WIKI 2 MPAKA 3.
HATUA ZA KUFUATA:
1.Weka CD ya window kwenye computer yako halafu izime computer yako 2.Hatua inayofuata ni kuiwasha computer yako.Inabidi uwe makini sana,kabla haijawaka,bomyeza F12.
Maana ya kubonyeza F12 ni kuilazimisha computer yako ISITISHE MAMBO MENGINE YOTE,NA BADALA YAKE,ISHUGHULIKE NA CD PEKE YAKE!!! ( Its a process of booting from the CD).
Baada ya hapo window setup itaanza na itakuwa katika rangi ya blue.
It's hard to find knowledgeable people in this particular subject, but you sound like you know what you're talking about! Thanks
ReplyDeleteVisit my web page ... cool articles