Monday, September 5, 2011

Miss Tanzania 2011 kupata gari la milioni 72/-

Gari aina ya Jeep Patriot lenye thamani ya shilingi milioni 72 likiwa tayari kukabidhiwa mshindi wa shindano la Miss Tanzania 2011.
Washiriki wa shindano la Miss Tanzania 2011 wakipozi pembeni ya gari atakalopewa mshindi Septemba 9.

No comments:

Post a Comment