Monday, September 5, 2011

DJ Venture apata jiko

DJ maarufu nchini, Venture mwishoni mwa wiki alifunga ndoa na Bernadina Shirima, jijini Dar es Salaam.


Busu la maharusiMwana FA (kushoto) na Mtangazaji wa Clouds FM na Clouds TV, Paul James (PJ) nao walikuwepo.


Mpoki na Wakuvanga hawakukosa


Mabinti nao walikuwepo kwenye mnuso wa harusi ya Venture jijini Dar es Salaam.


Picha zote kwa hisani ya blog ya Michuzijr

No comments:

Post a Comment