Friday, July 15, 2011

Wema,Diamond wadaiwa kuweka picha za ngono mtandaoni

Wema Sepetu akiimba na mpenzi wake, Diamond usiku wa kuamkia Julai 4 mwaka huu wakati wa tamasha la Fiesta kwenye Uwanja wa Jamuhuri mjini Morogoro.

Moja ya magazeti yanaoitwa kuwa ni ya udaku la leo limechapisha habari kuwa wapenzi hao wamepiga picha zinazodaiwa kuwa zimepigwa katika mazingira ya kimahaba a.k.a kingono ngono na kuwekwa mtandaoni.


Gazeti hilo limedai kuwa, kwa kuzingatia idadi na umri wa wanaume walioisigina amri ya sita na Wema (Miss Tanzania 2006), mrembo huyo anambemenda Diamond!


Wema kuzini na Diamond si stori ila aina ya picha walizopiga na kuziweka kwenye mtandao.

6 comments:

 1. ISHA KUWA ZILIPENDWA DIAMOND VS WEMA JUST NOW IS..................... DIAMOND VS JOKATE

  ReplyDelete
 2. Hawa jamaa wanaona dunia kama daladala wanabadili wanawake cku hadi cku ukimwi upo

  ReplyDelete
 3. Someone essentially lend a hand to make significantly articles I would state.
  This is the first time I frequented your web page and so far?
  I amazed with the analysis you made to create this particular publish extraordinary.
  Fantastic job!
  My web page ... Jazzy Lounge

  ReplyDelete
 4. Hello to every body, it's my first pay a quick visit of this web site; this weblog contains amazing and genuinely excellent stuff designed for visitors.

  Check out my page monstars To go Geschenkideen

  ReplyDelete