Wednesday, July 6, 2011

Strauss- Khan atoka 'kula bata', lock yamgomea

ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Dominique Strauss- Khan, na mkewe, Anne Sinclair, jana usiku walilazimika kukaa nje kwa dakika kadhaa baada ya lock ya mlango wa nyumba wanayoishi Manhattan jijini New York, Marekani, kugoma kufunguka waliporejea kutoka OUT.


Wakati Strauss- Khan akihangaika kufungua mlango, kulikuwa na kundi la waandishi wa habari nje ya nyumba hiyo waliokuwa wakisubiri kupiga picha akirudi kutoka 'kula bata'

Mwanasiasa huyo Mfaransa anaonekana kuutumia ipasavyo uhuru alionao sasa baada ya 'kuwa kifungoni' kwa wiki kadhaa wakati aliposhitakiwa kwa madai kuwa alitaka kumbaka muhudumu wa hoteli.

Dominique Strauss-Kahn was left red-faced yesterday when he and his wife found themselves locked out of their New York apartment after an evening out.


The former International Monetary Fund chief had been enjoying his recently-won freedom with a night on the town accompanied by wife Anne Sinclair.


But the couple returned home to their Manhattan apartment to discover a problem with the lock which left them stuck outside for several minutes.


Eventually after struggling with the key and the group of photographers camped outside, Strauss-Kahn finally managed to get the door open and usher his rather embarrassed wife inside.


The French politician has been making the most of his freedom. On the weekend he celebrated his release from house arrest with truffles and fine wine in an expensive New York restaurant.

No comments:

Post a Comment