Thursday, July 14, 2011

Kiu ya jibu

Kuna mdau kanitumia hayo maswali, anaomba mumjibu.


Hivi kuna uhusiano gani kati ya urefu wa mwanamke na mapenzi/kupenda?


Huwa inanitokea, mwanamke akinizidi urefu huwa naishiwa mzuka kabisa hata awe mzuri vipi.


Nimejaribu kuuliza marafiki wa karibu nao wana mtazamo kama wangu.


Je, hii huwatokea wanaume wote? kama ni hivyo sababu ni nini?

No comments:

Post a Comment