Tuesday, June 28, 2011

Giggis na mkewe pamoja kama kawa

Mshambuliaji mkongwe wa klabu ya Man United ya England, Ryan Giggs akiwa matembezini na mkewe, Stacey.


Picha hiyo inaonesha kuwa bado wapo pamoja hata baada ya nyota huyo wa soka kukumbwa na kashfa za kuisaliti ndoa yao ikiwa ni pamoja na kula uroda a.k.a kuchakachuana a.k.a kupiga show na shemeji yake (mpenzi wa mdogo wake).

No comments:

Post a Comment