Wednesday, May 4, 2011

Wakati Osama anauawa hakuwa na silaha

Wananchi wa Pakistan wakiwa na mabango ya kuilaani Marekani.

Wananchi nchini Pakistan wanaandamana kuilaani Marekani kwa kumuua Osama

Osama Bin Laden

Picha iliyooneshwa katika televisheni ya Pakistani ikidaiwa kuwa ni ya maiti ya Osama Bin Laden.


KUNA taarifa kwamba, Osama Bin Laden hakuwa na silaha wakati anapigwa risasi kichwani zilizosababisha kifo chake.


Kwa mujibu wa taarifa hizo, mtu huyo maarufu duniani aliyetajwa kuwa ni ADUI namba moja wa Marekani, aliuawa nyumbani kwake wakati anawakimbia makomandoo wa Marekani.


Soma hapo chini


OSAMA Bin Laden was unarmed when he was killed.


The world's most wanted terrorist was shot in the head by a US Special Forces marksman as his wife tried to rush the commando.



The new details of the al-Qaeda monster's death were revealed by the White House.



They contradicted early claims by President Obama's counter-terrorism adviser John Brennan that Bin Laden used his Yemeni wife Amal Ahmed al-Sadah, 27, as a "human shield" when confronted by US Navy Seals.


In reality, she was shot in the leg as she tried to save the 54-year-old warlord, but survived.


White House spokesman Jay Carney said Bin Laden "resisted" the assault force but gave no further explanation.

He added: "Bin Laden was then shot and killed. He was not armed."

No comments:

Post a Comment