
Kichapo hicho kiliwaumiza mashabiki wa Arsenal na sasa huenda wamekuwa SUGU, imebudi wazoee kuumia ingawa timu inasifika kwa kucheza kandanda la kuburudisha kuliko TIMU ZOTE England.
Sera za Wenger za kuzingatia kukuza vipaji tu zinaigharimu Arsenal na kuwaumiza mashabiki.
Kama Wenger hatasajili mabeki japo wawili ngangari wa kiwango cha juu na washambuliaji wa kiwango cha akina Torres, Drogba, Benzema, David Villa, na wengine kama hao The Gunners wasahau makombe, inauma sana.
No comments:
Post a Comment