Friday, May 20, 2011

'House girl' alivyovunja ndoa ya Schwarznegger

Baena akiwa na mwanawe aliyezaa na Arnold Schwarznegger.

Schwarznegger akiwa na mwanawe wa kwanza, Katherine

Mcheza sinema maarufu, Arnold Shwarznegger, akiserebuka na mfanyakazi wake (wakati huo), Midred Baena,wakati wa sherehe nyumbani kwa star huyo mwaka 1994.


Inadaiwa kuwa, wawili hao walikuwa na uhusiano wa kimapenzi, wamezaa mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 14.

Jambo hilo limesababisha Anold atengane na mkewe, Maria Shriver, waliishi pamoja kwa miaka 25. Maria na Star huyo wa Hollywood wana watoto wanne.


Baena alifanya kazi kwa wanandoa hao kwa miaka 20.


Arnold Schwarznegger akiwa na Mildred Baena, na mtoto wa mcheza sinema huyo, Christopher.

No comments:

Post a Comment