Monday, May 23, 2011

'Hongera mume wangu'

MKE wa mshambuliaji nyota wa Mashetani Wekundu, Manchester United, Wyne Rooney, Coleen a.k.a Mama Kai, akimpongeza mumewe baada ya Man U kukabidhiwa kombe la Ubingwa soka 2010/2011 England.


Kwa mujibu wa gazeti la Daily Mail la Uingereza, Rooney si miongoni nwa watu maarufu wenye mazoea ya kupigana busu hadharani hivyo yaliyotokea jana si ya kawaida na imekuwa story kwao.

No comments:

Post a Comment