


Prince William amelazimika kubadili ratiba ya fungate lake na Kate kwa sababu anatakiwa kazini leo kwa kuwa hakuomba likizo.
Mjukuu huyo wa Malkia Elizabeth wa Uingereza alipaswa kuomba likizo kabla ya kufunga ndoa lakini hakufanya hivyo itabidi arudi ofisini.
Maandalizi kwa ajili ya fungate yamekamilika, eneo watakalokwenda bado ni siri ila kuna madai kuwa watakwenda kwenye visiwa vya shelisheli.
No comments:
Post a Comment