Thursday, April 21, 2011

Shakira amfariji beki wa Barcelona uwanjani









NYOTA wa muziki duniani, Shakira, jana alikuwa uwanjani nchini Hispania kumshuhudia mpenzi wake, Gerrad Pique, akipepetana na vijana wa Jose Morinho, wakati Real Madrid ilipopambana na Barcelona katika mpambano wa fainali Kombe la ligi nchini humo.





Baada ya mpambano kwisha, wachezaji wa Barca walihitaji faraja baada ya kuchapwa 'kamoja tu', Shakira akamfariji Pique hapo hapo uwanjani.

No comments:

Post a Comment