Thursday, April 21, 2011

Jennifer Lopez yupo fit

Jennifer Lopez akiwa na kijana aliyepewa jina la Brad Pritty wa Mexico wakati mrembo huyo akirekodi video ya wimbo wake mpya.


MWANAMUZIKI maarufu duniani, Jennifer Lopez, akiacha tumbo hadharani kuonesha kuwa yupo fit baada ya kujifungua watoto wawili pacha, Max na Emme.

No comments:

Post a Comment