Thursday, April 28, 2011

Morinho:Ushindi wa Barca ni kashfa, wanapendelewa

Lionel Messi ! NDIYO kwanza ana umri wa miaka 23, unaweza kumuelezea vyovyote unavyoweza lakini sijui unaweza kumfananisha na nani miongoni mwa wachezaji waliopo sasa popote unapopafahamu.


Wapenzi wa kandanda wanapenda kutumia maneno 'jamaa anajua', na mimi nasema Messi ANAJUA!


Ukibisha bisha tu kwa sababu una uhuru huo, lakini niambie ni mchezaji gani anayeweza kufanya mambo kama ya Messi uwanjani, ni mchezaji gani angeweza kufunga bao la pili la Messi jana?




Kwenye gazeti la Daily Maily la Uingereza wanasema goli la pili la Messi jana halikuwa Beatiful, na hata wao wanashindwa walipe sifa gani, walioshuhudia mpambano wa jana wanafahamu kijana huyo alifanya nini.



Morinho 'kifungoni' jana kwenye uwanja wa nyumbani wa Real Madrid


Pepe akioneshwa kadi nyekundu kwenye mpambano wa jana, nusu fainali ligi ya Mabingwa barani Ulaya.

Vurugu kwenye mpambano wa jana.

Kocha wa Real Madrid, Jose Morinho, kama kawaida yake, anaweza kukunyima vingine lakini si maneno.

Kocha huyo maarufu kabwatuka tena, anasema, Barcelona jana waliinyuka Real Madrid 2-0 kwa kuwa walisaidiwa na UEFA!



Morinho anasema, ushindi wa Barca ni kashfa, hafahamu kama watu wanaipenda tu Barcelona, na hajui Barca wanapata wapi nguvu walizonazo, kawapongeza kwa soka yao nzuri na nguvu nyingine walizonazo za NJE ya uwanja.

Kocha huyo amekata tamaa, na anaamini Madrid hawawezi kuifunga Barcelona kwenye uwanja wao wa nyumbani.

soma hapo chini

'I don't know if it's to give publicity to Unicef or their power at UEFA.

I don't know if people just like them. I don't know and I don't understand. Where does all this power come from?

No-one else has a chance really. Why don't they let other teams play against them? If Barcelona are honest, they know this is happening.

'Congratulations because they are a fantastic football team but congratulations for everything else they have.

It has to be very difficult to achieve this kind of power. The others have no chance.
'If I say what I think my career ends today. I can't say what I feel. I only leave one question. Why?'


Mourinho named the referees he believes have helped Barcelona.

They included Wolfgang Stark (in charge on Wednesday night), Tom Henning Ovrebo (referee when Barca beat Chelsea in 2009), Frank de Bleeckere (sent off Inter Milan's Thiago Motta in last year's semi-final) and Anders Frisk (retired soon after another controversial Chelsea v Barcelona game).

He also listed players and managers banned by UEFA for criticising the officials after games against Barcelona, including Arsene Wenger, Samir Nasri, Didier Drogba and Jose Bosingwa, before conceding there was no way back for his team at the Nou Camp next week.

'We are out,' said Mourinho. 'We will go there with all the pride. Sometimes I feel disgusted living in this world and earning my living in this world.

'We have to do it with pride. The result is practically impossible to revert. If we score in Barcelona they will kill us again. There is no chance for us. It is mission impossible. They have to reach the final and they will.

'I have many Catalan friends and they will be happy and they’re going to Wembley, but to win this way cannot feel the same.'

Unlike his angry response on the eve of the game, Guardiola refused to be drawn into another verbal duel with Mourinho, and instead hailed his matchwinner Messi.

The Barca boss said: 'He is only 23 and already the third highest scorer at Barcelona. Third! At a 100-year-old club! It is absolutely incredible.

'That's the beauty of our football and the way we play. We haven’t made it to the final yet, we are playing Real Madrid, who have nine European Cups. That says enough.

No comments:

Post a Comment