Thursday, April 28, 2011

Beckham, mkewe kuhudhuria harusi ya mjukuu wa Malkia

Mwanasoka maarufu duniani, David Beckham akiwa na mkewe, Victoria, na watoto wao, Cruiz (wa kwanza kushoto), Romeo (wa pili kushoto mwenye jinsiya bluu) na Brooklyn, wakijiandaa kupanda ndege kutoka Marekani kwenda Uingereza.




Beckham na mkewe wamealikwa katika harusi ya mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Prince William itakayofanyika kesho Ijumaa.


Victoria na mwanawe wa kwanza, Brooklyn


Watoto wa David Beckham, Brooklyn, Cruiz na Romeo wakijiandaa kupanda ndege kwenda Uingereza jana.







Beckham akiwa na Prince William

No comments:

Post a Comment