Thursday, March 31, 2011

Poleni Japan

Hizi picha zinaonesha hali halisi ya madhara yaliyosabanishwa na tetemeko kubwa la ardhi na Tsunami nchini Japan mapema mwezi huu.
Inakadiriwa kwamba zaidi ya watu 10,000 wamekufa, na wengine 17,000 hawajulikani walipo.

Mungu aiepushe Tanzania na majanga kama haya.







No comments:

Post a Comment