Tuesday, March 29, 2011

Tetesi za mgogoro ndoa ya Rooney

Nyota wa Man United, Wyne Rooney, akizungumza na kocha wa timu ya taifa ya England, Fabio Capello wakati wa mechi na Wales.

Wakati wa mechi hiyo, mkewe, Coleen, mtoto wao, Kai (miezi 16), wazazi na ndugu wa mkewe walikuwa mapumzikoni Barbados.


Inadaiwa kuwa, ndoa ya Rooney bado haipo sawa tangu Septemba mwaka jana wakati mmoja wa malaya alipotangaza kuwa amezini mara 7 na mwanasoka huyo.


Mke wa mwanasoka nyota wa England, Wayne Rooney, Coleen muda mfupi baada ya kurudi Uingereza akitoka kupumzika Barbados.

No comments:

Post a Comment