Tuesday, March 29, 2011

Babu wa Loliondo

Mchungaji Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ambilikile Mwaisapile a.k.a Babu wa Loliondo akizungumza na mwandishi wa habari, katika kijiji cha Samunge wilayani Ngorongoro, Arusha.

No comments:

Post a Comment