Thursday, March 24, 2011

Chriss Brown kivingine




Mwanamuziki maarufu wa R&B, Chriss Brown (21), akicheza mpira wa kikapu muda mfupi baada ya kugombana na mtangazaji wa redio wakati akimhoji studio jana asubuhi.
Kijana huyo alikasirika baada ya mtangazaji kumuuliza kwa nini alimdunda mpenzi wake, Rihanna, mwaka 2009.

No comments:

Post a Comment