Tuesday, March 29, 2011

Beckham na mrembo wa Colombia

Sofia na nyota wa soka, David Beckham wakisamiliana walipokutana kwa ajili ya kutengeneza tangazo la kinywaji cha Pepsi
Nyota wa Colombia Sofia Vergara akiwa katika moja ya mapozi kwa ajili ya tangazo la Pepsi


Beckham akiwa katika mchakato wa kutengeneza tangazo la Pepsi

No comments:

Post a Comment