Thursday, March 17, 2011

Babu wa Loliondo

MCHUNGAJI Mstaafu, Ambilikile Mwaisapile a.k.a Babu wa Loliondo akimpa dawa mgonjwa.
Babu huyo amekuwa maarufu sana hasa kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa wanaokwenda kwake katika Kijiji cha Samunge mkoani Arusha kupata dawa ya magonjwa sugu ukiwemo Kisukari, Kifafa, Saratani, na Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI).

No comments:

Post a Comment