Tuesday, January 25, 2011

Binti wa Will Smith's Hot

Willow Smith(10) akiwa katika harakati za kurekodi video ya wimbo wake








Kikazi zaidi

Mtoto wa wasanii nyota wa Hollywood, Will Smith na Jaden Pinkett akiwa kikazi zaidi wakati akimrekodi dada yake, Willow.
Willy Smith na mkewe, Jada Pinkett Smith wakionesha hisia wakati wakimshuhudia binti yao akirekodi video ya wimbo wake (wa Willow).
Gwiji wa sinema, Jack Chen nae alikuwepo kumshuhudia Willow
Jaden Smitth akiwa kazini wakati dada yake anafanya mavituz ya kupata shots za video ya wimbo.
Willow hakuwa peke yake, alikuwa na dancers kunogesha 'shughuli'

2 comments:

  1. nasikia huyu mtoto ameacha shule baada ya kupata umaarufu kimuziki, sijui ni kweli manake tetesi nazo!

    ReplyDelete
  2. An interesting discussion is definitely worth comment.
    I believe that you ought to write more about this subject
    matter, it might not be a taboo matter but typically people do not discuss such subjects.
    To the next! Cheers!!
    Here is my page :: buy pet insurance online

    ReplyDelete