Wednesday, January 19, 2011

Atajuaje?

Jamaa anaomba msaada tutani, hajui atafahamu vipi kama anapendwa kwa dhati, anahitaji msaada. Toa ushauri wako kupitia bmsongo@hotmail.com au basil.msongo@yahoo.com
KUNA kitu kinanitatiza, nina mpenzi (demu) yuko chuo fulani hapa bongo (Tanzania), nina miaka miwili naye na ninampenda sana ila sijui kama yeye ananipenda equally.

Nitumie vigezo gani kufahamu kama ananipenda kwa dhati?

Nifanye nini asiniache? cause I love her very much!

No comments:

Post a Comment