







Kwa mtazamo wangu, Hispania ndiyo timu yenye viungo bora zaidi kati ya timu 32 zinazowania kombe la dunia Afrika kusini lakini huenda mfumo wanaoutumia unawasumbua kwenye umaliziaji.
Kuwepo kwa viungo Xavi, Cesc Fabregas, Iniesta na Alonso kwenye timu moja ni jambo la fahari sana, natamani waingie raundi ya pili tuendelee kupata burudani.
No comments:
Post a Comment