Kocha wa timu ya taifa ya England, Fabio Capello akiwa katika moja ya 'mitihani' wakati wa mpambano wa jana.
Wa pili kwenye benchi ni mwanasoka nyota wa nchi hiyo, David Beckham.
Mshambuliaji wa England, Defoe, akifunga bao lililoipeleka nchi hiyo kwenye hatua ya 16 bora kwenye inayoendelea ya kombe la dunia nchini Afrika Kusini
Nahodha wa England ambaye pia ni mmoja ya viungo bora wa soka duniani hivi sasa, Stephen Gerrad, akitafakari jambo wakati wa mpambano wa jana kati yao na Slovenia.
Mlinzi wa England, John Terry, akijitoa mhanga kuokoa moja ya hatari langoni kwao wakati wa mechi ya jana.
Nimeangalia mechi nyingi za soka, sijawahi kuona beki akiruka kama alivyoruka Terry jana, natamani kila wakati nione ile move, ilikuwa nzuri sana, inaonesha namna mtu anavyoweza kujitoa kwa ajili ya jambo fulani, big up Terry.

Naipongeza Ghana kwa kupenya hadi 16 bora, inabidi wajipange hasa katika safu ya ushambuliaji watupe raha waafrika.
No comments:
Post a Comment