Kiungo wa Kimataifa wa Liverpool na timu ya soka ya England, Stephen Gerrard, akiwa na wanawe, Lexie na Lilly, kabla ya mpambano wa Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya kati ya Liverpool na Fiorentina ya Italia. Like father, like Daughters
Mke wa Gerrard, Alex Curan, naye alikuwepo Anfield kumsupport mumewe.
No comments:
Post a Comment