Tuesday, July 28, 2009

Kapteni Komba amzimia Waziri Nagu

Dakika chache zilizopita Kapteni John Komba amesema bungeni kwamba Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Mary Nagu amependeza kuliko siku nyingine zote.
Mbunge huyo amesema, sifa hizo zimpe moyo Nagu wa kulinda viwanda vya Tanzania.
Kama haitoshi, Komba kasema waziri huyo ana sura nzuri na anauzika. makubwa!

1 comment:

  1. kumbe wenzetu wameenda bungeni kuuzana badala ya kutatua matatizo ya wananchi??!!! haya sie tubaki na shida zetu.

    ReplyDelete