Saturday, July 11, 2009

Baada ya miezi sita

Nyota wa soka, David Beckham na mkewe, Victoria.
Wanandoa hao wameungana tena juzi baada ya kutokuwa pamoja kwa miezi sita.
Beckham alikuwa Italia akiichezea AC Milan, Victoria na watoto wao watatu, Brooklyn, Romeo na cruz walikuwa Los Angeles, Marekani.
Juzi wanandoa hao waliadhimisha miaka 10 ya ndoa yao nchini Seychelles.

Beckham na wanawe walikutana jana uwanja wa ndege wa Heathrow nchini Uingereza wakati mwanasoka huyo na mkewe walipotoka kwenye kumbukumbu ya ndoa yao.
Familia hiyo ikapanda ndege kwenda kwao Marekani.
Katika picha hapo juu Beckham amembeba mtoto wao mdogo zaidi, Cruz(3), Victoria kamshika mkono Romeo(7), Brooklyn (10) yeye kivyake.

Victoria na Cruz
Beckham ataichezea Los Angeles Gallax hadi oktoba, baadaye atarudi AC Milan.

No comments:

Post a Comment