Kiduduye (Kushoto)
Picha kwa hisani ya Mtangazaji.blogspot.com
MWILI wa aliyekuwa Mhariri Mkuu wa Redio Uhuru FM, Deogratius Kiduduye unatarajiwa kuletwa Dar es Salaam asubuhi hii kutoka Nigeria.
Ndege inayouleta mwili huo inatarajiwa kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere saa tatu asubuhi.
Mtangazaji huyo alifariki dunia nchini humo, na imeelezwa kwamba alikwenda kutibiwa kisukari.
Redio Uhuru FM inamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM)
No comments:
Post a Comment