Rostam Aziz
Reginald Mengi
TAARIFA kwamba ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP) imeanza kuchunguza tuhuma za rushwa, ukwepaji kodi, na uhujumu uchumi zinazowakabili wafanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz na Reginald Mengi zimenishangaza.
Kazi ya ofisi ya DPP ni kupitia taarifa za uchunguzi uliofanywa na mamlaka nyigine ili kuona kama ushahidi unatosha kuwashitaki watuhumiwa au la, lini kaanza kufanya kazi ya uchunguzi?
No comments:
Post a Comment