Saturday, May 23, 2009

Aksanteni, Mungu awabariki

TAREHE na mwezi kama leo miaka ileee, Caroline Msongo alijifungua mtoto wa kiume mjini Dodoma akapewa jina Basil a.k.a Msafiri.
Leo nina furaha sana, nawashukuru wote ambao kwa namna moja au nyingine wamenipongeza na kunitakia heri, Mungu awazidishie upendo.
Kwa kuwa leo ni birthday yangu, nimeona niweke picha hiyo juu nikiwa na mwanangu, Brian a.k.a Imeda.

3 comments:

  1. Heri kwa sikukuu ya kuzaliwa.
    Maisha yenye heri, afya tele na mafanikio mema.

    ReplyDelete
  2. babu wa simulizi uko bomba! Mungu akupe kila la heri halafu acha utundu yaani umeshika mtoto kama unamuogopa wangekuogopa wewe ungelifika hapo.Afya njema mtu wangu.

    ReplyDelete
  3. hongera kwa mtoto Brian a.k.a Imeda pia nawe hongera mungu akuzidishie miaka mingi ili uweze kumlea vizuri Brian kama Caroline alivyokupa upendo ambao hutaweza kuulipa.

    Joke: Mbona mama Brian hatumwoni hapo akikupongeza au .................

    ReplyDelete