Nawashukuru wadau kwa kujitokeza kutoa jibu la kitendawili nilichokitoa jana kuhusu picha za wanawake wawili, niliuliza ni akina nani hao?
Subi kasema, picha ya kwanza ni Madonna, ya pili ni Christina Fernandez ambaye kwa sasa ni Rais wa Argentina.
Flaviana Karata amesema, picha ya kwanza ni Madonna na ilipigwa mwaka 1979.
Nasikitika kusema kwamba bado hamjatoa jibu sahihi jamani. Swali linasema, ni akina nani hao?

Muda mfupi uliopita Aunt K kasema huyo wa juu ni Jade, no si kweli, p'se angalieni vizuri.
Yaani hamuwafahamu hao?
1. JADE
ReplyDelete2. -
AUNT K
Picha ya kwanza ni mtoto wa kike wa madonna,na picha ya 2 ni madonna mwenyewe enzi zake.
ReplyDeleteYa kwanza ni mtoto wa madonna na ya pili ni madona mwenyewe
ReplyDelete