Thursday, April 23, 2009

Sindano ya Arsenal
















ANDREY Arshavin ni raia wa Russia, The Gunners walimsajili Januari mwaka huu.

Amekuwa akicheka na nyavu na kuwathibitishia mashabiki wa Arsenal kwamba Arsene Wenger hakufanya makosa kumchomoa kutoka ligi ya Russia.
Jumanne usiku alizifumania nyavu mara nne wakati vijana wa Wenger walipoumana na Liverpool wakatoka sare ya mabao manne kwa manne.

No comments:

Post a Comment