Saturday, April 18, 2009

Rubani asiye na mikono





KAMA unadhani haiwezekani yeye anaweza, ni msichana, alizaliwa bila mikono, sasa ni rubani, na pia anaendesha gari.
Jessica Cox(25) anafanya mengi ambayo wengi wanaweza kuamini kuwa hayawezekani na inaaminika kwamba ni mwanadamu wa kwanza asiye na mikono mwenye leseni ya kuendesha ndege.

Msichana huyo pia ana Black Belts miwili ya mchezo wa kujihami, na ukipenda mualike Swimming pool akuonyeshe anavyoweza kuogelea.

Soma HabariLEO Jumapili Kesho upate uhondo.

No comments:

Post a Comment