Wednesday, April 29, 2009

Msiba Kanisa Katoliki Shinyanga

PADRE Jacob Makula wa kanisa Katoliki jimbo la Shinyanga amekufa.
Padre huyo aliaga dunia juzi saa nne usiku baada ya kupata ajali ya pikipiki wakati akienda kwenye makazi yake.
Alikuwa akiiendesha, akashindwa kuimudu, akaanguka na kufa papo hapo.
Atazikwa Ijumaa katika makaburi ya Kanisa hilo jimboni humo.

3 comments:

  1. PADRE MAKULA UMETIMIZA MIAKA MITATU TANGU UTUTOKE.MCHANGO WAKO KWA JAMII HAUTASAHAULIKA KAMWE. SADAKA YA KUMTUMIKIA MUNGU LILIKUWA CHAGUO LA MAISHA YAKO.ROHO ULIZOZIOKOA ZITAKUWA FARAJA NA DARAJA ZURI KUMFIKIA MUNGU WAKO. PUMZIKA KWA AMANI BABA.NA EMMANUEL MAKULA KWA NIABA YA FAMILIA YA MUNGU.

    ReplyDelete
  2. Tunakushukru Mungu kwa zawadi ya Baba yetu Mpendwa Late Pauline Makula. Tunakushukru pia kwa zawadi ya uhai hapa Duniani. Tunamwombea awe kati ya wateule huko mbinguni. Kwa mastahili na kwa Imani yake kuu hadi mauti alikutegemea wewe tu. Kupitia mwanao mpenzi Yesu Kristo apate furaha isiyo na mwisho. Baba pumzika kwa Furaha kuu.

    ReplyDelete
  3. Mungu awapokee kwake juu mbiguni na mkawe waombezi wetu.Baba Pauline Makula na Fr Jacob Makula Imani yenu kuu itakuwa nguzo yetu daima.Mfurahi na Bwana kwa amani.By Emmanuel Makula.

    ReplyDelete